Tuesday, July 25, 2017

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Agosti 2, 2017 imeshindwa kuanza kusikiliza kesi kuhusu kutumia dawa za kulevya inayomkabili video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kwa sababu wakili wa serikali anauguliwa na mtoto.


Masogange anashtakiwa kwa makosa mawili ambayo ni kutumia dawa za kulevya aina ya Heroine na Oxazepam  na Heroine (Diacety Imophine).

0 comments:

Post a Comment