Leo August 10, 2017 Rais Magufuli amekutana na Balozi mdogo wa Marekani Inmi Patterson Ikulu Dar es Saalam na kuahidi Tanzania itaendelea kushirikiana na Marekani.Nawashukuru sana Serikali ya Marekani kwa sababu
ni marafiki zetu na wanaipenda Tanzania, tuna ushirikiano nao mzuri na nimemueleza kwamba Tanzania na Serikali ninayoiongoza itaendelea kushirikiana na Marekani.” – Rais Magufuli.
ni marafiki zetu na wanaipenda Tanzania, tuna ushirikiano nao mzuri na nimemueleza kwamba Tanzania na Serikali ninayoiongoza itaendelea kushirikiana na Marekani.” – Rais Magufuli.
0 comments:
Post a Comment