Friday, August 25, 2017

Gumzo lake lilianzia baada ya kuweka post yake kwenye Twitter ikiwa na maneno yaliyoashiria kuwa majibu baada ya mistari iliyoimbwa na Diamond kwenye Fresh remix ya Fid Q kuonesha kama vijembe kwake.

Sasa leo Alikiba ndio ameachia video ambayo ni hii inaitwa ‘Seduce Me’ unaweza kuitazama hapa chini na kisha ukaacha maoni yako baada ya kuitazama

0 comments:

Post a Comment