![]() |
Kwa Neema za Mungu, watoto wetu Sadia, Doreen na Wilson wako tayari kwa safari ya kurudi nyumbani Tanzania siku ya Ijumaa, August 18, saa 3 asubuhi, kupitia KIA. Njooni Tuwapokee Pamoja! (Pichani, Balozi wa Tanzania USA, Mh. Wilson Masilingi akiwa na WATOTO pamoja na Mama zao mjini Sioux City, Iowa) |
Tuesday, August 15, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment