Wednesday, August 16, 2017

Image may contain: food
BIASHARA HARAMU: Kijana Sadiki wa maeneo ya Tegeta,anayedaiwa kuuza mishikaki katika eneo lililopo karibu na jengo la Kibo Complex,
anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuuza mishkaki ya nyama za paka.
Walaji wengi wa mishkaki ya Sadiki walikuwa wakipatwa na mashaka na nyama hiyo kutokana na ladha yake kuwa tofauti, lakini kila mara alipoulizwa, jamaa huyo aliwatoa hofu kwa kuwaambia kuwa nyama hiyo ni ya ng’ombe.
Imedaiwa kutokana na mashaka ya wateja wa mishkaki hiyo kuongezeka, wananchi wa eneo hilo waliamua kumuwekea mtego ili kubaini ukweli.

0 comments:

Post a Comment