![]() |
| Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM taifa, Aliyeshika Nafasi ya 2 Kura za Maoni CCM Jimbo la Kawe 2015 , Ndg.Cooleman Coleman Vincent Massawe amefariki Dunia kwa ajali mbaya ya gari huko Bagamoyo leo. Habari zaidi baadaye!! |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment