Wednesday, August 30, 2017

Image may contain: 2 people, people smiling, crowd
"Kuna mtu ananiambia hii ni maeneo ya TRA ambapo wataalamu walijitokeza kwa usaili wa ajira. Maswali yameniijia kichwani; 1. Ni kwamba kuna nafasi chache za ajira nchini ama watu wetu wanachagua sana kazi za kufanya? 2. Je, hakuna utaratibu bora zaidi, wenye staha na heshima, unaoweza kutenda haki kirahisi zaidi kuliko huu?" #NjeYaBox #HK — in Kigamboni, Dar Es Salaam, Tanzania.

0 comments:

Post a Comment