Friday, August 18, 2017

Image may contain: 1 person
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kusudio la kufuta leseni ya Kampuni ya Mycell Commucation, inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu nchini, Yussuf Manji chini ya Quality Group Limited (QGL) kwa kudaiwa imeshindwa kukiuka masharti ya leseni kinyume na kifungu 21 (a) na (b) cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Epoca) ya mwaka 2010. Kampuni hiyo inadaiwa kuonywa mara kwa mara kutokana na kikiuka masharti ya leseni bila kujirekebisha, na hivyo TCRA inakusudia kuifutilia mbali muda wowote kuanzia sasa.

0 comments:

Post a Comment