| Vuta nikuvute ya kampuni maarufu ya simu Tanzania Tigo na Wasanii 2 maarufu nchini waliowashinda Tigo mahakamani na kuamuriwa kuwalipa Shillingi Bilioni 2 AY na MWana Fa, imendelea leo baada ya Wasanii kuitwa tena Mahakamani Ilala kusikilizia wito wa Mahakama kwa niaba ya Tigo ambao bado wanajaribu kila njia kukwepa kulipa hukumu hiyo. Mahakama hiyo ya Ilala itatoa uamuzi mpya Tarehe 31/8/2017 |
Thursday, August 24, 2017
BREAKIN NEWZZ!!!:- WASANII MAARUFU NCHINI WALIOWASHINDA TIGO MAHAKAMANI WARUDI TENA ILALA LEO LIVE!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment