Baada ya kuzindua filamu yake ya ‘Alter Ego’ mwezi Julai Omotola Jalade-Ekeinde, amepata shavu kwa kutokea katika jarida la Glam Africa.
Kupitia Jarida la Glam Africa, Omotola ataweza kufunguka juu ya maisha yake na ukimya wa miaka mitatu katika tasnia ya filamu Nollywood – Nigeria
N
0 comments:
Post a Comment