Thursday, August 24, 2017

 Image result for nembo ya bunge tanzania

Kwa mujibu wa tovuti ya bunge www.parliament.co.tz wabunge wafuatao wana elimu ya shule ya msingi :-


1. Mbaraka Bawaziri - CCM - Kilosa
2. Hussein Nassor Amar, CCM
3. Mwamtumu Dau, CCM
4. Jaffar Juso, CCM - Paje.
5. Haji Haji, CCM
6. Khamis Yahya Machamo, CCM
7. Deo Sanga, CCM
8. Jumanne Kishamba, CCM (tajiri sana huyu)
9. Azzi Abood, CCM (Tajiri )
10. Suzanne Kiwanga, CCM - Makambako
11. Saul Amon, CCM (Tajiri, "Rungwe bus express)
12. Mary Chatanda, CCM - Korogwe mjini.
13. Stephen Ngonyani" Prof. Maji Marefu", CCM. - Korogwe vijijini
14. Joseph Kasheku "Msukuma", CCM. - Geita.

15. Frank Mwakajoka, CDM.-Tunduma
16. Sulemani Bungara, CUF - kilwa mjini.


Aidha, baadhi ya wabunge taarifa zao hazionekani katika tovuti hiyo. # Elimu kwa wabunge wa Viti maalum.

0 comments:

Post a Comment