Thursday, August 31, 2017

Image may contain: one or more people, people sitting and indoor
IKULU, DAR: Rais John Pombe Magufuli leo amekutana na viongozi Wastaafu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwemo Mkurugenzi wa zamani wa Usalama wa Taifa(TISS), Bwana Cornel Apson.

- Lengo la kuwaita viongozi hao wa zamani ni kuweza kushirikiana na waliopo sasa katika kutekeleza majukumu yao..
Image may contain: 1 person, smiling, standing and suit

0 comments:

Post a Comment