Posted by Williammalecela.com on Wednesday, August 23, 2017
 |
Habari ya Kusikitisha Sana.
Mgombea Ubunge wa ODM Lamu
Mashariki katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni Nchini Kenya Shakue
Kahale Mwanati
Akielezea jinsi alivyoshuhudia Familia Yake Wakifa Mmoja
Baada ya Mwingine baada ya Boti yao Kuzama.
Aliogelea kwa Masaa
Manane ili kuikoa Familia yake ya Watu Tisa waliokufa Maji, Watoto wake
Saba Mke na Dada wa Mke wake,Alijishikilia kwenya Kamba yeye na Watoto
wake kwa Masaa Sita ikawa wanachukuliwa mmoja baada ya Mwingine na Upepo Mkali na Mawimbi Mazito mpaka wakaisha wote kwa kuchoka kushikilia kamba. |
0 comments:
Post a Comment