Thursday, August 24, 2017

Ni Exclusive Interview kutoka kwenye  ambapo Mwigizaji Jackline Wolper amekaa na kuhojiwa na Mtangazaji  kuhusu kuachana kwake na Mwimbaji wa Bongofleva Harmonize….Kabla kwanza ya kuanza kuongea, Wolper alisali ili
kuomba Mungu amuondolee hasira kwenye kila atakachokizungumza, humo ndani ametajwa na kuongelewa Sarah ambae ni mwanamke mpya wa Harmonize na wengine, play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho

0 comments:

Post a Comment