Posted by Williammalecela.com on Saturday, August 12, 2017
 |
www.lemutuz.com
....Tulianza na Ndoto ya "Le Mutuz Online TV" and then a process ya
kuigeuza ndoto to reality
...leo tutaanza kufunga vifaa ya kuitimiza
ndoto yetu...imenichukua Miaka 5 tu ya kurudi Bongo na only USD $ 1,000
baada ya Miaka 30 Majuu hahahaha ....pamoja na matusi mengi sana kutoka
kila kona ya Dunia lakini tuliziba masikio na pamba U know Working on
our dream na here I am now.....guys hatuja fika hapa kwa bahati ni Mungu
and then kwanza ilikuwa kujenga Brand Name
"LE MUTUZ" halafu ilikuwa kujenga Base yaani Stable Source of Income at
"BLOGU YA WANANCHI" ......then the dream "TV Online" ..Sasa nia na
madhumuni ni kuelekea kuwa na Radio na TV YANGU MWENYEWE very soon na
kwa jina la MUNGU I will wala sina wasi wasi nitapigana on that mpaka
mwisho ...my point is ujumbe kwa wengine hasa Vijana usikate tamaa
pigana wachana na maneno ya watu na kumbuka always that kwenye ndoto
inayohusu Media au Sanaa lazima utatutakanwa matusi mazito sana
....watakutukania mpaka Baba na Mama yako in my case wamemtukana mpaka
marehemu Mama yangu mzazi I mean imagine mtu anakutukania mpaka maiti ya
Mama yako mzazi U know...USIJALI ndio moja ya gharama ya kufikia ndoto
yako na ni kikwazo kidogo tu ukivumilia utafikia tu ndoto zako ....ndio
maana nilikuwa siwasikilizi maana nilikuwa ninajua kuwa ndoto yangu ni
bigger than matusi na kukatishwa tamaa....now the iron is our Studio ipo
THE BEST LOCATION yaani Downtown City Centre na TUNA VIFAA VYA KISASA
SANA ....again guys from next week tutaanza kuwa hewani on majaribio na
tutaanza KUWEPO MTAANI KU REKODI MATUKIO ....hahahaha...ninacheka cause
this is so sweet yaani majibu kwa wapiga kelele huku Instagram cause hii
ndio maana hasa ya AKILI KUBWAZ yaani Akili ndogo wanakubwekea bwekea
kama Mbwa lakini wewe una stay na FOCUS ON YOUR DREAM mwishoni unakuja
kuwaacha bado wanaendelea na kelele wewe unasonga mbele
....hahahaha....ok thanks guys tupo pamoja zikitokea Fursa za ajira mpya
tutaambiana tu hapa hapa ...lov U guys! - le Mutuz Nation |
 |
|
0 comments:
Post a Comment