Thursday, August 31, 2017

Ni ngoma mpya ya WCB ambayo sasa hivi ina zaidi ya views milioni 2.2 kwenye mtandao wa Youtube ambapo baada ya siku 6 kupita toka iachiwe ngoma,
leo WCB wameiachia Behind The Scene kuonyesha jinsi video hiyo ilivyofanyika

0 comments:

Post a Comment