![]() |
| Msanii maarufu wa Bongo Fleva Ali Kiba, katikati akiwa na Wachezaji wa Barcelona Lionel Messi na Neymar live!! na ina maelezo yafuatayo huko Facebook:- "Hii picha inanionesha mimi nikiwa na mastar wa timu ya Barcelona kule Hispania, Messi na Naymar. JE. UNAVYOANGALIA KWA MAKINI...HII PICHA NI YA KWELI AMA IMEEDITIWA TUU?? NGOJA NIONE KAMA DUNIANI KUNA WATU WASIOJIELEWA!" |
Friday, August 4, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment