Posted by Williammalecela.com on Thursday, August 24, 2017
 |
Mwanamke
mmoja nchini Kenya ameamua kuingia mtaani kusaka mume huku akiwa
amebeba bango katikati ya jiji la Nairobi. Akiwa amevalia nguo nyeupe-
kama ya harusi- mwanamke huyu mwenye umri wa miaka 28, Pris Nyabura,
amebeba bango linalosema: “Nahitaji mume, nina mtoto wa kike wa miaka
saba.” Mwandishi wetu Robert Kiptoo amejaribu kumpigia simu ili kupata taarifa zaidi, lakini simu yake iko “bize”… |
0 comments:
Post a Comment