Wednesday, August 30, 2017

Rais wa Simba, Evans Aveva (wa kwanza kushoto) na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa mahakani Kisutu.
…Wakiingia mahakani.
‘Kaburu’ akiongea jambo makamani hapo.
Kesi inayomkabili Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’  leo imeendelea katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo upande wa mashtaka umeieleza mahakama hiyo kwamba umekusanya nyaraka za upelelezi na zimepelekwa kwa mtaalamu hivyo uliiiomba mahakama iahirishe kesi hiyo hadi Septemba 8 mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment