![]() |
| Kwa picha hii Shilawadu wakinukisha Mitandao yote ya kijamii Bongo, Dada yake Diamond Platnumz Esma wa kwanza kulia akimbeba mtoto wa Super Staa Model Hamisa Mobetto, Hospitalini juzi na kuthibitisha habari za hapa mjini kuwa mtoto huyo ni wa Msanii huyo maarufu. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment