Wednesday, August 16, 2017

Super Late lunch at Downtown ...I mean unajua juzi nimewaangalia wale vilema waliokuwa wanapigania miguu kwa RC...nikajiuliza hivi mimi binafsi nina tatizo gani la kumlalamikia Mungu katika maisha yangu? ...ukweli ni kwamba sina hata hayo madogo niliyonayo hayawezi kufanana na Binadam wenzangu waliokuwa wanagombea miguu ya bandia .... guys tujifunzeni ku appreciate maisha especially kama ni mzima kama mimi na tujifunze kumshukuru Mungu kwa kuacha kulalamika lalamika bila sababu za msingi ......imagine mtumzima una akili na kila kitu unalalamika tu na kutukana tukana tu....imagine kusimama kwenye foleni unagombea miguu ya bandia .......again ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa maisha niliyonayo kumbe kuna wengi wanayatamani lakini hawana na hawawezi kuyapata ...forgive me my God kila ninaposahau of how great you have been to me and my life cause I am a Super Sinner and I surerly dont deserve your grace! ...HOWEVER NAPAMBANA NA HALI YANGU U KNOW! - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment