Wednesday, August 2, 2017

LIVE STRAIGHT TALK:- Mungu anasema "MY PEOPLE ARE DYING CAUSE OF LACK OF KNOWLEDGE"
jana na juzi niliamua kwa makusudi kuwa challenge Elimu ya Chini on the ishuz of Zari na jana wasomi on the ishus za yule Mbunge lofa wa Chadema nilitegemea kuona watu wenye akili wakijibu HOJA cause mimi niliweka chini HOJA jamani zile posts zote zipo mpaka sasa nenda uzisome Comments za kupinga ni MATUSI TU hamna HOJA ....maaana yake ni ile ile Wanasiasa wetu wengi mtaji wao ni Wananchi Wajinga cause kama Wananchi wetu wangekuwa werevu tusingekuwa tunapotezewa muda na Wanasiasa wengi Uchwara kama tulionao I mean eti wanajaribu kushindana na Rais anayekubalika na Dunia nzima kwamba HAJAWAHI KUTOKEA tumeona mpaka the Americans wakilia kwenye Social Media zao kuwa they wish tungebadilishana Marais wao wamchukue Rais wetu akawasaidie zaidi ....Chadema ni Demokrasia ipi wanayojua wakati CCM imeshabadilisha Wenyeviti 3 wao wana yule yule Mugabe haondoki wala hachaguliwi ila ni wa kudumu lakini eti wana ubavu wa kudai Demokrasia toka CCM hahaha please bana tuoneeni huruma kidogo baadhi yetu Wananchi tulioenda Shule na kukaa sana Majuu yaani tunajonea VICHEKESHO TU ....cause on a serious TONE akili aliyonayo Rais Magufuli Scientifically ni Miaka 5 mbele ya sisi wananchi wengi wa Tanzania kwa maana ya kwamba tuna gap ya Miaka 10 baina na akili ya Rais wetu wa sasa na Wananchi walio wengi hapa Tanzania now the bigger Question here ni how can we move forward na ku enjoy matunda ya Uongozi wa akili kubwa sana tulionao sasa hivi kwa akili matope ninazozisoma humu kitakuwa kitendawili tu cha kutisha ...guys binafsi nimeishi Majuu so sina tatizo kuelewa kinacholalamikiwa kuwa ni ugumu wa maisha toka Rais wa sasa ashike madaraka cause haya ni maisha ya kawaida Majuu yaani ni lazima UFANYE KAZI na ni lazima ULIPE KODI I mean kwenye hizi line za Kodi hapa bado tunabembelezana sana Majuu like USA wanaodai Kodi wanaitwa IRS ndio kama TRA kule hawana mchezo wale wakikuandikia barua wewe ni kwenda kujisalimisha tu huna jinsi so guys KODI NI LAZIMA ....I mean hakuna mabadililo matamu process ni lazima iwe na maumivu in life TUNAVUNA TULICHOPANDA TU so jipime kama kweli huvuni ulichopanda! - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment