Posted by Williammalecela.com on Thursday, August 10, 2017
 |
LIVE
HARD TALK:- Hahahaha guys do not fool yourself Mungu ameumba Maisha
hivi
....kila mabaya na maovu unayoyafanya hapa Duniani ni lazima ulipwe
hapa hapa Duniani ....asikudanganye mtu na it does not make any gademu
sense ufanye maovu ukiwa hai halafu ulipwe ukiwa umekufa NO gademu
WAY!....so ina maana kwamba ukiwafanyia maovu wnyonge na wewe una nguvu
Mungu atakusahaulisha mpaka utajiamini kuwa wewe ni mjanja sana na una
akili sana kumbe anaku set up to kuja kukupa kipigo cha
mwaka ...sasa tatizo ni ukipigwa unaanza kulia lia na kuomba sympathy
ya Dunia nzima kumbe ulishasahau wale wote uliowaumiza na ambao hawakuwa
na sauti ya kusikika ....ila kwa sababu ni Juha huna kumbu kumbu
hukumbuki kuumiza wengine kwenye safari yako ya maisha kumbe umesahau
Mungu anakumbuka mazafantazzz....utapigana kuidanganya Dunia kuwa
unaonewa kumbe wenye AKILI KUBWAZZZ kama mimi tunajua kuwa Mungu anakupa
malipo halali ya Ujuha wako mwenyewe...guys ninasema kila wakati kabla
hujarukia usiyoyajua tafuta FACTS kwanza za pande zote mbili sio
unaambiwa za upande mmoja tu unaanza kucheza single ambayo mtungaji
humjui ni nani.....ninarudia tena Mungu sio mjinga wa kukuruhusu ufanyie
wengine maovu halafu aje akulipe ukiwa umekufa no gademu way ...so
kabla hujalalamika kuonewa jitafakari umeonea wangapi in your life?
...ulidhani hakuna Mungu? back off mrudie Mungu wako ....guys adui wako
kwenye maisha yako muangalie kwenye kioo utamuona live ni wewe mwenyewe
wacha kutafuta wachawi ni wewe mwenyewe! ...guys ukiona in your life
unawasingizia wengine kwa ujuha wako mwenyewe ujue umekufwazz ...hahhha was just thinking loudly Good Nite! - le Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment