![]() |
| Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga Afrika Madega, leo ametangaza kuwania nafasi ya Urais wa soka Tanzania TFF. Akizungumza na Waandishi wa habari leo katika Hoteli ya kitalii ya New Africa, amesema anataka kuingiza uwezo wake wa kisheria kwenye kuendeleza kandanda Tanzania. |
Wednesday, August 9, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment