Sunday, August 27, 2017

Kiungo wa Manchester Utd, Marouane Fellaini (27) akimtoaka mchezaji wa Leicester kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu ya Uingereza uliopigwa Old Trafford. Leicester wamefungwa bao 2-0.
Mshambuliaji wa Man Utd, Lukaku akikosa penalti.
Marcus Rashford akiwa juu akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya Man Utd bao la kuongoza.
Wachezaji wa Manchester wakitoka kumpongeza Rashford aliye nyuma kabisa kushoto.
Sir Alex Ferguson na Kocha wa zamani wa England, Sam Allardyce wakiongea jambo.
Kocha wa Man Utd, Jose Mourinho.

0 comments:

Post a Comment