Saturday, August 19, 2017

Baada ya Hamisa Mobetto kubadilisha jina la account ya mtoto wake kutoka Tanzanian Baby na kumuita Abdul Naseeb_Tz , twitter ya Diamond Platnumzimewaka moto kwa kauli kali ya SIMBA Inayotajwa kumlenga Mwanamke fulani anayetafuta Umaarufu.

0 comments:

Post a Comment