Saturday, August 26, 2017

Babu Tale Atoa Neno Kuhusu Vijembe vya Diamond na Ali Kiba

Meneja wa WCB Babu Tale ametia neno kwenye gumzo linaloendelea sasa hivi mitandaoni kati ya pande mbili za Wasanii wawili maarufu wa Bongofleva ambao ni Alikiba na Diamond Platnumz.

Tale kwenye Instagram yake ameandika ‘Tushindane kwenye kazi, vijembe vya mitandao tuwaachie mashabiki….. #zilipendwa link on my bio”


0 comments:

Post a Comment