Monday, August 21, 2017

Image may contain: 1 person, smiling, on stage
Miss Tanzania 1999 ambaye pia ni "Balozi Maalum wa UN Tanzania" Hoyce Temu akiwakilisha Tanzania mbele ya Wanafunzi wa nchi 100 mbali mbali Duniani huko Bon Ujerumani anakosoma kwenye Chuo Maalum cha Umoja wa Mataifa. Hoyce atakuwepo Chuoni hapo kwa muda mrefu kwa ajili ya masomo maalum yanayohusu Umoja wa Mataifa ambako yeye ni mfanyakazi wa muda mrefu katika ofisi zake za hapa mjini Dar. Mrembo huyo wa kwanza Tanzania kuwa mjasiriamali na mchapakazi aliwasili nchin huko Germany mwisho wa wiki iliyopita.
Image may contain: 1 person, smiling, standing
Image may contain: 1 person, smiling, indoor
Image may contain: 1 person, smiling, standing, child and outdoor

0 comments:

Post a Comment