![]() |
| Kwa yeyote ambaye ana ndugu au anamfahamu mtu ambaye ni mlemavu wa miguu, amjulishe aende kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Jumatatu kwa ajili ya kujiandisha na kupatiwa mguu wa bandia BURE. Hii ni kwa wakazi wa Dar es Salaam. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment