Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 22, 2017
 |
"Leo
nimekutana na familia za watoto Sadhia, Doreen na Wilson ambao wametoka
matibabu Marekani. Aidha, tumewakabidhi 7,750,000 kila familia ili
ziendelee kuwasaidia kuwahudumia watoto wetu pamoja na masuala ya Elimu.
Kupitia watoto hawa nimeona utukufu wa Mungu!"
|
0 comments:
Post a Comment