Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 22, 2017
 |
"Jana
tukiwa na Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr. Ayoub Rioba tulizindua ujenzi wa
majengo na mitambo ya TBC mkoani Arusha. Kazi hii ikikamilika mwezi
Disemba 2017 TBC itakuwa na uwezo wa kurusha matangazo moja kwa moja
kutokea mkoani Arusha!"
|
0 comments:
Post a Comment