Thursday, August 3, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda leo ametembelea kituo kipya cha Television cha Africa Swahili TV kinachomilikiwa na Mfanyabiashara maarufu wa usafirishaji wa mafuta hapa Nchini na Afrika Mashariki Super Bilioneaz
Davis Mosha lkilichopo Sinza Mori Jijini Dar. Pia alizungumza na Wafanyakazi wa Kituo hicho na kuwataka kutangaza habari bila kuchagua.   



0 comments:

Post a Comment