Friday, August 4, 2017

Mkali wa muziki kutoka Nigeria, Chinedu Okoli maarufu kama Flavour ameeleza kwanini hatoweza kuoa mwanamke yeyote  kati ya wale aliozaa nao ambao ni Sandra Okagbue na Anna Bannar.

Mtu wa karibu wa msanii huyo ameeleza kuwa Flavour hayupo tayari kufanya hivyo kwa sababu wataharibu tasnia yake ya muziki na pia watagombana kwa kuwa huyo wao watahitaji kuzaa watoto wa kike na ilihali yeye anataka wa kiume.
“Chinedu is not ready for marriage; he will tell you any day any time that ‘I am not ready for any woman now, any girl wey one carry belle, money dey I go take care of them, but the one wey go born boy for me eh! I go finish am with love; I fit marry am self,” ameelezea kijana kwa mujibu wa mtandao wa Information.

0 comments:

Post a Comment