Monday, August 28, 2017


Mwigizaji wa Bongo Aunty Ezekiel amekaa kwenye  red carpet Mlimani City Dar es salaam kwenye uzinduzi wa movie mpya ya Wema Sepetu na kujibu maswali yasiyopungua matatu.

KUHUSU UHUSIANO WAKE NA WEMA KUPUNGUA:

“Mimi nahisi labda mazingira ambayo tunaishi, mimi nimenza kuishi na mtu na yeye amekua mwenyewe… labda mimi huku  nakuwa busy na mtoto kwahiyo tunatofautiana mazingira ambayo tunaishi lakini kusema uhusiano umepungua kutokana na sababu nyingine sio kweli” – AUNTY EZEKIEL

0 comments:

Post a Comment