Kupitia Instagram yake leo August 3, 2017 Faiza Ally amethibitisha kuwa amebahatika kujifungua mtoto, akiweka picha ya mtoto huyo na kuweka maneno ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuandika”ALHAMDULILLAH @lijunior_well come to the world baby ”
Thursday, August 3, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment