Christian bella amefunguka kuwa kwenye ngoma yake Hiyo aliwakutanisha wahusika hao bila kuwaambia
Hata hivyo amekiri Kuwa Nandy na Ruby wanafanana uimbaji(Bella mwenyewe anaita 'Rangi' za uimbaji wao zinafanana')kwahiyo hata wao wenyewe(Ruby na Nandy) hawajui sauti za kila mmoja wao zimetumika wapi.
Hata hivyo Christian bella amefafanua kuwa aliamua kuwatumia wote ila sio kwamba kuna mmoja alishindwa kufanya vizuri zaidi ya mwenzake.
Isikilize tena Ollah ya bella ft Khaligraph na zile sauti za kike ni Ruby na Nandy.
Kumekuwa na mjadala kuhusu Nandy kufanana na Ruby ingawa Nandy ameshasema mara kibao kuwa hajaja kuchukua nafasi ya Ruby.
Ruby anatarajia kuachia ngoma yake mpya hivi karibuni huku Nandy akiwa anatamba na ngoma yake
0 comments:
Post a Comment