![]() |
| "Afisa Habari wa Simba, Haji Manara amepewa fursa ya kuzungumza katika hafla ya kukabidhi jezi na vifaa vya michezo kwa niaba ya vilabu, anaongelea suala la ratiba na anapendekeza Bodi ya Ligi iwe inazifahamisha timu wachezaji wenye kadi ambao hawaruhusiwi kucheza mechi." |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment