![]() |
| "Ukijua kuchart ujue nakupika na ukijiita mlembo ujue nakukaa jikoni sifa ya mwanamke tabia njema. Unaweza ukawa mlembo lakini ujui kupika tabia njema kwako ziro . Atakutaka nani utaishia kufunuliwa nakupakuliwa kama masufuria ya shuhuri fyuuuu jipangeee atakupika dagaa mwanamke uwezi michanga kibao kwenye dagaa mwee poleeee" |
Wednesday, August 30, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment