Posted by Williammalecela.com on Saturday, August 12, 2017
KISUTU,
DAR: Serikali imetaifisha magari matatu kati ya 7 yaliyokutwa na Rais
Magufuli kwenye makontena, alipofanya ziara bandarini.
- Hatua hiyo imefikiwa baada ya kubainika kuwa magari hayo hayakuwa na nyaraka stahiki, Mahakama imeamuru washtakiwa wawili walipe faini.
0 comments:
Post a Comment