Mke wa zamani mwimbaji wa Bongofleva Nuh Mziwanda, Nawal aliyefunga ndoa na mwanaume mwengine hivi karibuni na kuwa gumzo…sasa new stori ni kwamba ndoa inadaiwa kuzua utata.
Inadaiwa kuwa ndoa mpya ya Nawal sio halisi, ni FAKE na anadaiwa kufanya hivyo ili kumuumiza roho Nuh Mziwanda.
Nawal ”Haina haja ya kuapia mimi najua mwenyewe kwamba nameolewa. Mume wangu nilikuwa naye sasa hivi kaenda kazini mimi nikarudi nyumbani siwezi kupika mwanangu anaumwa, pia tulijisikia kwenda kula sehemu nyingine.” – Nawal

0 comments:
Post a Comment