Posted by Williammalecela.com on Friday, August 04, 2017
Mhe. Spika Job Ndugai leo amekutana na Spika wa Bunge la Iran, Mhe. Dkt. Ali Larijani na kufanya nae mazungumzo yenye lengo la kuimarisha mahusiano ya kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Iran.
0 comments:
Post a Comment