Posted by Williammalecela.com on Sunday, August 06, 2017
Mwimbaji staa wa nyimbo za asili Saida Karoli alikuwa katika Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza katika muendelezo wa kutoa burudani kwa mashabikia wa Kanda ya Ziwa ambapo alisindikizwa na Nandy na Chegge.
0 comments:
Post a Comment