Sunday, August 27, 2017



Usiku wa August 26, 2017 Mliman City Dar es salaam kulikua na uzinduzi wa movie mpya ya Wema Sepetu na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa Bongo kama Aunty Ezekiel, Haruna Niyonzima na Idris Sultan.

Haruna Niyonzima
Mrembo Joan
Aunty Ezekiel
Mama Wema
Daxx na Feza Kessy wakihojiwa na Watangazaji wa CloudsTV
Miss Tanzania aliepita Lilian Kamazima akihojiwa na The Storm ya CloudsTV

0 comments:

Post a Comment