Wednesday, August 9, 2017

Image may contain: 1 person, playing a sport and outdoor
Mgombea Urais wa muungano wa Upinzani nchini kenya ( NASA) Ndugu Raila Odinga AMEPINGA vikali matokea yanayoendelea kutangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi nchini humo (IEBC)

#Note Mwambieni Raila hiyo ni kawaida ya wapinzani kupinga matokeo wakiona wanaelekea kuanguka, wapinzani huamini wao ndiyo wana haki ya kushinda tu.

Mwaka 2007 Raila alipinga matokeo yaliyomtangaza Mwai Kibaki kama mshindi ikapelekea wakauana vibaya huku maelfu wakigeuzwa wakimbizi ndani ya nchi yao.

Mwaka 2010 na 2015 wapinzani wa Tanzania walipinga hivyo hivyo wakasema hawayatambui matokeo na hawamtambui Rais , kwahiyo siyo kitu kigeni kwa sanaa za upinzani.

Cha msingi ni kuwaombea na kuwashauri wasije wakaanza kuuana tena kama mwaka 2007.

0 comments:

Post a Comment