Kamati YA ulinzi Mkoa na wilaya YA mbeya yadhirishwa na eneo linalopendekezwa
- Mkuu wa mkoa wa Mbeya Leo Ameongoza Kamati YA ulinzi na usalama YA Mkoa na wilaya kukagua eneo linalopendekezwa kwa ajili ya Bandari Kavu
- Akiongea na wananchi amewashukuru wananchi kuridhia eneo linalopendekezwa kujengwa bandari kavu na kuhaidi watakaopisha watalipwa fidia kwa mujibu wa sheria
- Amesema kujengwa kwa bandari kavu mkoani Mbeya ni mkakati wa kiuchumi na una faida kubwa kiuchumi kuanzia mtu mmoja mmoja,kijiji, kata , halmashauri , mkoa na Taifa
- Bandari kavu itakayojengwa itahudumia nchi za malawi, Zambia na Congo
- ujenzi wa Bandari kavu utaongeza ajira na pia utasaidia kuboresha huduma za shirika la reli Tazara


0 comments:
Post a Comment