Staa Ommy Dimpoz baada ya kupost picha ambayo imekuwa gumzo kwenye Instagram yake.
Soudy Brown ameongea na Ommy Dimpoz ambaye amesema“Sasa tatizo liko wapi? Kama ukitaka simu chukua na mafuta ubaya uko wapi yaani? Fumbo liko wapi? Wewe unae girlfriend au hauna? Simu siku hizi za kisasa kama iPhone 7 unaweza kuiosha ikichafuka kwa sababu ni waterproof na ukaipaka mafuta.” – Ommy Dimpoz.
0 comments:
Post a Comment