Maneno ya Wolper ...Embu ona jamani macho natia huruma kama na upwiro kilo 200hii
mikaka yetu ya kibongo kuna mida inaboa kuna mida inakuwa poa sasa
Madee Rais wa Manzese nikuulize swali.ulishindwa nini kunyanyua ka
simu kako nakunipigia hata kinafki na Kunambia unani Video Queen katuni
sjui sanamu unajua wewe....acha Dharau wewe Pumbavu piga Simu Omba
kwanza....Hata kma umlipi mtu sisi tunasaidiana wote wasanii leo kwangu
kesho kwako,
. nakunishika kimahaba umenishika una
dhambi wewe kaka na suti umenivalia kwma unaenda kutoa posa kwa
Masawe.sasa onyooo siku nyingne ombaga utapewa acha kuparamia kama
vile unaomba round kwa kimada wako kwanza unitafute utoe Hata faini ya
kuniweka macho kama nimevuta ugoro...ila nyimbo kali nisiwe mchoyo na
nimependa idea ila mwambie aliyenichonga nakunipa hiyo Shepu nitampasua
0 comments:
Post a Comment