Le Mutuz Nation akiwa na mtoto wa Kiarabu Fatma,
ambaye amekuwa akionekana naye sana majumba ya Starehe hizi siku za karibuni. Jumamosi iliyopita alikuwa naye Fish Market, Ijumaa hii alikuwa naye Havoc Club na jana usiku pia alionekana naye Eelements Club, Masaki. Sio mara ya kwanza kwa Le Mutuz kuonekana na warembo huku akisema ni Wachumba anaotaka kuwaoa, kuacha Mchumba wake wa muda mrefu sana Super Model Nasra International.

![]() |
![]() |

0 comments:
Post a Comment