Na bado hana hatia, mpaka Mahakama imtie hatiani. Jamani, tuwe na huruma na binadamu wenzetu waliozaliwa na wenye haki ya kuishi kama mimi na wewe unaefanya kite ndo hiki. Mabadiliko yanakuja, utawala wa sheria unakuja na haya matukio itakuwa historia katika nchi yetu. EAAM
Ni binadamu pia anahitaji kuhurumiwa! hata kama ni mkosefu bado upendo unahitajika juu yake ili abadilike!
ReplyDeleteNa bado hana hatia, mpaka Mahakama imtie hatiani.
ReplyDeleteJamani, tuwe na huruma na binadamu wenzetu waliozaliwa na wenye haki ya kuishi kama mimi na wewe unaefanya kite ndo hiki. Mabadiliko yanakuja, utawala wa sheria unakuja na haya matukio itakuwa historia katika nchi yetu. EAAM