Posted by Williammalecela.com on Saturday, August 26, 2017
Ni saa 24 tu zimepita tangu mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ lakini tayari imeonekana mashabiki wake wameipokea vizuri baada ya kufikisha viewers zaidi ya 500,000.
0 comments:
Post a Comment